Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,644
- 2,773
- Thread starter
- #41
U
Ulikuwa unawaza mbali mkuuIla X pamoja na kumuachia Z bado walikuwepo viranja wasaidizi wake ambao bado wana mbinu na mkubaliko mkuu ndani ya shule ingawa hawana madaraka sasa.
Mmoja majuzi kapiga chafya tuu, basi Z na wasaidizi wake wamepata wao mafua na kuharisha hovyo.
Kweli Y huko aliko anachekelea, lakini kamponza Z maana anakwenda hovyo kiasi itamuwia vigumu kupata miaka mingine mitano. Ndio anaweza kulazimisha, lakini asipoangalia pension anaweza kuilia kule aliko Sloban Milosivic