I will find the right time& I will hit him...

I will find the right time& I will hit him...

Ila Magufuli alibugi sana kujiita JIWE.Ona sasa tumesahau kabisa jina lake na mtazamo wa hilo neno JIWE kwa watu ni tofauti kabisa na yeye alivyochukulia
Hahahaha Sure Mkuu JPM ni Kilaza wa Kiwango cha SGR.
 
Sidhani kama X anaumia sana maana yeye mwenyewe ndiye aliyemshauri Z kuwa si vyema kurithi adui au rafiki wa mtu!
x anaumia mno, ndio maana aliblock barabara ya kupitia uganda, sasaivi amefungua kwasababu ni landlocked na anajua kuwa akipigwa za uso huku kwa m7 atakuwa ameshaharibu hatakuwa akipita kwenda kenya, atabaki kisiwa ambacho mlango pekee ni DR congo. pia, ile kuingi amkataba na Burundi kujenga SGR kwenda congo kupitia burundi ameshajua sisi tumeona yeywe sio wa muhimu kiviiile. tunaweza kupita sehemu nyingine akituzingua. alitesa sana madereva wetu, akawatoza sana pesa kwasababu hatukuwa na namna na aliyepita alimlea sana bila faida yeyote. chinjilia mbali mnyonya damu yule.
 
Kweli Y huko aliko anachekelea, lakini kamponza Z maana anakwenda hovyo kiasi itamuwia vigumu kupata miaka mingine mitano. Ndio anaweza kulazimisha, lakini asipoangalia pension anaweza kuilia kule aliko Sloban Milosivic
 
Ila X pamoja na kumuachia Z bado walikuwepo viranja wasaidizi wake ambao bado wana mbinu na mkubaliko mkuu ndani ya shule ingawa hawana madaraka sasa.
Mmoja majuzi kapiga chafya tuu, basi Z na wasaidizi wake wamepata wao mafua na kuharisha hovyo.
Kweli Y huko aliko anachekelea, lakini kamponza Z maana anakwenda hovyo kiasi itamuwia vigumu kupata miaka mingine mitano. Ndio anaweza kulazimisha, lakini asipoangalia pension anaweza kuilia kule aliko Sloban Milosivic
Maskini Z hata hiyo pension yenyewe hakuweza kuila
 
kiranja Z1 kaishapiga uturn kitambo
Anafata maelekezo ya kiranja X
Kiranja Y lazima atulie,kimya kaufyata..
Mungu amuweke anapostahili kiranja Z
Yetu macho, wacha tuone Y atakuja na fimbo gani ya kumchapia X
 
Habari jukwaani,
Tutaenda kwa codes ili tusiharibu thread,
Kulikuwa na viranja fulani Wa shule mbili tofauti,kiranja shule x na yule shule y.

Ilitokea kiranja shule y alikuwa na mgogoro na wanafunzi wake kuhusu mambo Fulani Fulani,ukawa mgogoro mkubwa sana,sasa bahati huyu x shule yake kubwa,akaja kupata nafasi ya kuulizwa namna angewezaje kutatua mgogoro ule"ushauri".

Kiranja shule x akashauri huyu Wa y wakae meza 1 na wamalize tofauti zao,bahati mbaya huyu Wa y hakuupenda ule ushauri ,kilichotokea baada ya hapo Nikutupishiana maneno tuuu.

Siku1 kiranja y akiwa na wanafunzi wenzake,Wanaomaliza aka graduates alisema huu msemo akimwambia x,"there are lines can't be can't be crossed "
Akaenda mbali zaidi na kusema
"I will find the right time& I will hit
him"

Kiranja x alikuwa anamaliza shule akiwa mbeleni mwa y,kwa hiyo wakati anatoka akakabidhi kwa kiranja mwingine aliefata,kiranja z.

Z alivyoingia akawa rafiki mkubwa sana ya y,tofauti ilivyotegemewa.
Z akanogewa na y,kiasi kwamba anammwagia sifa hadharani y,kuliko hata yule x aliempendekeza.

Z akabadili mifumo mingi ya uendeshaji shule,mingi akiigiza kutoka kwa y,hata namna ya kuongoza,kufikiri,kupambana na wanampinga,akawa typical kama y.

Huu msemo Wa "I will find the Right time & I Will hit him" hatuoni kama umetimia,maana huko nje x lazima anaugulia vibaya akimsikia z anavyomsifia y,anavyopitia kote y alipopitia.
Jakaya alimtumia ujumbe kagame kuwa ajaribu amuoneshe cha mtema kuni
 
Yetu macho, wacha tuone Y atakuja na fimbo gani ya kumchapia X
Kiranja Y hawezi fanya kitu tena,Kiranja Z1 yuko na X, tofauti na Alivyokuwa kiranja Z..
Kiranja Z alimhenyesha Sana X kukaa tu Upande wa Y.
 
Back
Top Bottom