I went through my husband's phone and now I'm devastated

I went through my husband's phone and now I'm devastated

Pole jman hizo hazifai kushka u ruined ur happiness.we jifanye umesahau tu.
 
I went through my husband's phone yesterday because of my recent suspicions that he's cheating on me but what I saw on the phone was far worse than what I was expecting to find there. It has practically ruined my life
Wewe ni mwanaume
 
Bora umesema wewe, mana me nazisomaga hata sichangii, mana hatuelewi huyu mtu ni kuwa hajui kiswahili au? Mana wengi wanamshauri kwa kiswahili, haya wengine wanamjibu kwa kingereza kama chake, lkn hata cku moja harudi, akiandika thread ndo imetoka, haeleweki anazifanyia kazi comment anazojibiwa, au akiandika ndo mihasira yake inapungua!!!! Sikia we R.B, tushachoka na thread zako, kama huyo mume c umuache? Kila siku waja na jipya halafu unapotea, nahisi ukirudi tena utasema mtoto niliyemzaa mume wangu kasema hafanani naye, UNABOA
kiswahili anakijua sana !na huwa anajibu sana post kwenye majukwaa mengine sijui tu kuweka link mi mwenyewe ananibore sana tu!
 
dah hiyo mbaya kama unajua huwezi kuvumilia matokeo ya uchunguzi wako basi usichunguze acha utajiumiza roho yako breeeeeeeeeeeeeee
 
Na ukome. Ulishamwona mumeo anachokora simu yako? Mpuuzi sana.:rockon:
 
Matatizo ya kuchungulia simu za wanaume zenu ndo hayo:biggrin:
 
Back
Top Bottom