Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,957
Hizi simu miaka hii ndizo didimizo la ndoa nyingi au mahisiano. Cha msingi huna haja ya kufa ganzi ukishakutana na majimambo ya sms!!! Ndoa nyingi siku hizi mapenzi ya dhati hakuna na kufa kwa mapenzi ni simu zetu!!!! Kwa hiyo tuendelee kuishi artificial marriage life kila mtu na kidumu chake na kibustani!!! Ha ha ha!!! Unafikiri ni kwa nini leo hii cheating both women and men (married an unmarried) zimeongezeka sana!!!? Ni kulipiza visasi!!