Pablo
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,441
- 2,551
Hahaha hawa hawakimbiwi. Ntawatafuna wooteeukiwa na hela utawakimbia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hawa hawakimbiwi. Ntawatafuna wooteeukiwa na hela utawakimbia mkuu
Kuigiza kunahitaji talent sanaNimekutafuta mpenzi miaka mingi sijawahi kumpata mtu mtamu kama wewe nikiwa karibu nawewe moyo wangu unashtuka nasisimuka .
I love you sina mwingine nimefika kwako nasitotaka kamwe kukuacha.
Ninapokufungua harufu yako inanipa hamu ya kula na kuendelea kula tu bila kuacha kula.
Sijawahi ona kila mahali popote pale utamu kama huu unaonipa naburudika sana niwapo na wewe.
Unajua chocolate ni kitu kitamu sana.
Kitamuu mpaka nikiwa nakula napata hamu kabisa .
I LOVE U CHOCOLATE
Sent using Jamii Forums mobile app
hutawamaliza mkuu..mwisho wa siku nakushauri tafuta mnaependana,muweke ndani na maisha yasonge..
Hahahaa. Mkuu wataisha tuu, kama Dimondhutawamaliza mkuu..mwisho wa siku nakushauri tafuta mnaependana,muweke ndani na maisha yasonge..