Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 4,942
- 22,285
Wewe ni mdogo, najua.Aibu nimeona mimi [emoji85]
Na wewe ukipata MPE hela kabla hajakuacha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mdogo, najua.Aibu nimeona mimi [emoji85]
Huko alipo na yeye anaendelea na juhudi za kutafuta mtu kama wewe. Siku moja mtakutanaWanaopendwa wana raha aisee.. Namimi ntapata kweli wa kunipenda namna hiii...
Ngoja niwe na imani tu.
Hakikaaa nipo naomba roho ananiambia nijeeee [emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niwe na imani tu.
Kama umefunuliwa na mungu. Mungu akufanyie miujiza uje inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Eehh roho fanya kweli huyu mama aje pm Asiwe zaid ya miaka 30. Awe mweupe pee asiwe pia single mom'Hakikaaa nipo naomba roho ananiambia nijeeee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ucjaly hakika atakujaaa,,,,Eehh roho fanya kweli huyu mama aje pm Asiwe zaid ya miaka 30. Awe mweupe pee asiwe pia single mom'
Mengine kama elimu,kazi tutajiongeza mbele ya safari
Shuka fanya kitu kwaajili yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeh mungu nimepunguza vigezo awe vyovyote tu mie kwangu poa.
Why upunguze vigezo,,,,!? Muombee MUNGU mtu unayemtaka Kwa vigezo ili akupe uyo uyo,,,,coz kama kaja hana vigezo upendavyo ndo mwanzo wa usalitiEeh mungu nimepunguza vigezo awe vyovyote tu mie kwangu poa.
Mfanye aniite basi niende. Asipo niita nipe ujasiri niende tuu.[emoji112]
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiwa na hela utawakimbia mkuuWanaopendwa wana raha aisee.. Namimi ntapata kweli wa kunipenda namna hiii...
Si juzi ulisema uko pregnant ama!Nimekutafuta mpenzi miaka mingi sijawahi kumpata mtu mtamu kama wewe nikiwa karibu nawewe moyo wangu unashtuka nasisimuka .
I love you sina mwingine nimefika kwako nasitotaka kamwe kukuacha.
Ninapokufungua harufu yako inanipa hamu ya kula na kuendelea kula tu bila kuacha kula.
Sijawahi ona kila mahali popote pale utamu kama huu unaonipa naburudika sana niwapo na wewe.
Unajua chocolate ni kitu kitamu sana.
Kitamuu mpaka nikiwa nakula napata hamu kabisa .
I LOVE U CHOCOLATE
Sent using Jamii Forums mobile app
So if i said i am mama kijacho shida nini??Si juzi ulisema uko pregnant ama!
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hakuna shida nisamehe bure
I am happy siku hizi sitaki ugomviHakuna shida nisamehe bure
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo