Huyu mama yuko sahihi kabisa. Anachopinga ni ubaguzi inapokuja kwa wamarekani wenye asili ya kiafrika ni lazima waitwe african american lakini wazungu hawaitwi European americans wao ni americans tu yaani wao nido wa amerika halisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.