I want to m@ke a Story..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I want to m@ke a Story.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Lucas, Apr 13, 2012.

 1. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,450
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwa kuziunganisha hizi signature........

  mfano: baada ya kusema "MIafrika ndivyo tulivyo" mwenyekiti wa kikao alimfuata akamnong'oneza "If you can't convince them, confuse them." ndipo alipoibuka mjembe mmmoja na kusema "Ukubwa wa Boflo...Kiboko yake Chai" ndio hapo mtoa hoja akachekelea "He who angers you conquers you" baada ya hali kuwa haijatulia aliibuka katibu na kumwambia mtoa hoja "Critics are Our Friends, they tell us Our Faults" na kweli waswahili husema "Mama hasingiziwi mtoto" ndipo hapo.....
   
 2. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,450
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  wale wataalamu wa hadithi tusaidiane....
   
 3. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 7,997
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Kwanza kazi ya kuzikusanya ni kubwa. NakupongezaSmiling Saint!. Ipo ninayoipenda sana ya Smile.
  Sasa ndugu kuunganisha zote kwenye hadithi fulani ni kibarua kigumu. Labda inawezekana tukipeana muda. Je, wengine mwasemaje?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,218
  Trophy Points: 280
  Usibabaike na rangi utamu wa chai sukari
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,240
  Likes Received: 235
  Trophy Points: 160
  Dah, watu mna muda sana...
  Big up!!
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  uwiii...nakumbuka yakwangu tu...
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaa dogo umenikumnusha Arumeru...Lol
  Unajua alinifurahisha Nassari alipompiga kijembe Sioi...lol
  Eti "Ukubwa wa Boflo...Kiboko yake Chai" na
  "Heri dogo Janja kuliko Kubwa Jinga"....
  Hayo ni kutoka Arumeruuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,584
  Likes Received: 783
  Trophy Points: 280
  Kukaa kimya ni jibu la mjinga...
   
 9. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #9
  Apr 13, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,450
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  dah now nipo kwenye mobile... nikigusa computer ntaendelea
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Hii inafanana na mikatabafeki.

   
 11. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,584
  Likes Received: 783
  Trophy Points: 280
  hii ni yangu original, ikiwa ni nukuu toka kwa wimbo wa Langu Rohoni ulioimbwa na malkia, Leila Rashid.
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160

  Mphamvu mzima wewe? Poleni sana na shughuli za msiba....
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,988
  Likes Received: 5,143
  Trophy Points: 280
  kwenye hii hadithi mie nitakuwa msomaji.......
   
 14. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #14
  Apr 22, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,450
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  very soon......
   
Loading...