I think I LOVE YOU!

I think I LOVE YOU!

Shughuli bila watu si shughuli hiyo.
Raha ya shughuli watu, na watu wenyewe ndo sie.

Kimya kimya ya nini, binti kujiamini bibie.

Hahaha kumbe ehhh?
Basi kwanzia sasa hivi napiga kimya kimya.
 
Shughuli bila watu si shughuli hiyo.
Raha ya shughuli watu, na watu wenyewe ndo sie.

Kimya kimya ya nini, binti kujiamini bibie.

Hahaha unapenda shughuli wewe. . .
Mchango utatoa?
 
Hauhitaji kuwezeshwa ama kuwekewa kipaza sauti. I wonder why mpaka sasa bado tu wamumunya......lol!!!

Namumunya nini tena kakondoo wakati nimeshamnong'oneza?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom