Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
- Thread starter
- #181
Sio kila occasion doto ni baadhi tu. Hiyo nimeangalia kwenye music library yangu sinayo lakini nitakutafutia 🙂 labda nitaipata 🙂. Msalimie Kurwa mwambie namtakia weekend njema.
BAK mpaka sasa hivi sijawahi kuona umekosa. . .angalau kwa zile zinazokugusa.
Salam zimefika. . na nnamsaidia kurudisha kabla hata hajaniomba. . UWE NA WEEKEND NJEMA PIA BAK!!Kutoka kwangu na kwake.