Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 20
Mie Paka namuona kuwa ni mnyama poa tu.
Mie ninampenda Paka hata kuliko Mbwa.
Mie ninampenda Paka hata kuliko Mbwa.
QM, kuhusu nyoka - hapana... hao aina ya wawili uliowataja sijawahi... ila ninauhakika wanafanana tu na wengineo niliowaona kwa karibu. Sura zao kwa kweli hazinivutii although i must say i'm a bit fascinated about them especially their poisons for those poisonous.
Paka are damn lazy man, wanakucheck tu binadamu na kukudharau kama vile wewe ni mtumwa wao... ukiwacheki usoni utaweza kuona hiyo dharau ilivyo hadharani nyusoni mwao, wengine wanatoa viulimi vyao nje just to mock you. Kwanamna fulani hivi wanakuwa wamewasoma binadamu mapema mno kabla ya action yoyote wanayopanga kufanya... they are too weird man!
umenichekesha sana!sijawahi kufikiria hivyo ngoja nimchunguze nyau wangu nione kama ana nyodo!!
mmh sio siri sikumbuki kama nimeshawahi ona mzoga wa paka!maana kuna paka wa mtoto wa dada yangu alitumbukia ktk shimo la choo lenye maji tukamuona kafa lkn baadae tukataka kumtoa kwa mti lkn hatukumkuta!!Queen, by the way katika pitapita yako popote pale ulishawahi kukutana na mzoga wa paka?? .... where do they go, that's my question. Hivi hawapati ajali hawa wanyama??!! mbona mbwa na wanyama wengine tunawaona pembezoni mwa barabara?
mmh sio siri sikumbuki kama nimeshawahi ona mzoga wa paka!maana kuna paka wa mtoto wa dada yangu alitumbukia ktk shimo la choo lenye maji tukamuona kafa lkn baadae tukataka kumtoa kwa mti lkn hatukumkuta!!
it sounds scary lkn paka wana roho ngumu labda hakufa!!Mimi nilishawahiona paka anagongwa live na gari tena lililokuwa kwenye speed kubwa tu, nikamwona huyo anadodoka na kuwa kama amekufa. Ile nageuka kuangalia gari iliyogonga huyo paka katika kutaka kuitambua au kujua kama watasimama, ile nageuka upande wa pili kumwangalia tena huyo paka, nikakuta ametoweka. Na kuhakikishia kuwa kamwe asingelikuwa wa kupona...but mysteriously, the thing just vanished before my eyes!!
Kama unafuga paka, ikitokea amemwaga let say mboga, wewe lalamika kwa kusema nani kamwaga mboga utamsikia tu analia miiiyeee, miiiyeee, uku akiramba ramba kwenye ile sehemu aliyofanya uharifu wake. hapo utajuwa tu kuwa ni yeye...!Elezea zaidi tafadhali mkuu X-P.!
bata......!!!!...na swali langu ndiyo hilooo!! Nitajie mwingine yeyote yule ukiacha binadamu.