I Think Cats Are Evil... Wewe unawaonaje?!

"Physics"

Law of Cat Inertia
A cat at rest will tend to remain at rest, unless
acted upon by some outside force, such as
the opening of cat food or a nearby scurrying
mouse.

Law of Cat Motion
A cat will move in a straight line, unless there
is a really good reason to change direction.

Law of Cat Magnetism
All blue blazers and black sweaters attract
cat hair in direct proportion to the darkness
of the fabric.

Law of Cat Thermodynamics
Heat flows from a warmer to a cooler body,
except in the case of a cat, in which case all
heat flows to the cat.

Law of Cat Stretching
A cat will stretch to a distance proportional
to the length of the nap just taken.

Law of Cat Sleeping
All cats must sleep with people whenever
possible, in a position as uncomfortable for
the people involved, and as comfortable as
possible for the cat.

BTW
Cats have over one hundred vocal sounds,
dogs only have about ten
 
Last edited:
napenda sana paka hata viwanyama vingine kama mbuzi vikiwa vidogo navitreat kama watoto.umenikumbusha stori moja one day nikiwa ughaibuni tulikaribishwa dinner na rafiki yangu m1 basi ktk kupigapiga story akaanza kuhadithia jinsi asivyopenda paka kisha akahadithia jinsi alivyompiga paka m1 mwizi wa mboga hadi akamtoa roho kwa kumfungia ktk gunia na kumsulubu kwa mawe.basi yee akawa anahadithia kwa kucheeka akidhani sijui angesifiwa lkn wale wazungu waliotukaribisha walibadilika wakawa wekunduu huku wakimtizama as if anahadithia alivyoua mtu na mama mwenye nyumba akaanza kulia kwa jinsi alivyosikitika
 
QM, kuhusu nyoka - hapana... hao aina ya wawili uliowataja sijawahi... ila ninauhakika wanafanana tu na wengineo niliowaona kwa karibu. Sura zao kwa kweli hazinivutii although i must say i'm a bit fascinated about them especially their poisons for those poisonous.

Paka are damn lazy man, wanakucheck tu binadamu na kukudharau kama vile wewe ni mtumwa wao... ukiwacheki usoni utaweza kuona hiyo dharau ilivyo hadharani nyusoni mwao, wengine wanatoa viulimi vyao nje just to mock you. Kwanamna fulani hivi wanakuwa wamewasoma binadamu mapema mno kabla ya action yoyote wanayopanga kufanya... they are too weird man!

umenichekesha sana!sijawahi kufikiria hivyo ngoja nimchunguze nyau wangu nione kama ana nyodo!!
 
umenichekesha sana!sijawahi kufikiria hivyo ngoja nimchunguze nyau wangu nione kama ana nyodo!!

Queen, by the way katika pitapita yako popote pale ulishawahi kukutana na mzoga wa paka?? .... where do they go, that's my question. Hivi hawapati ajali hawa wanyama??!! mbona mbwa na wanyama wengine tunawaona pembezoni mwa barabara?
 
mmh sio siri sikumbuki kama nimeshawahi ona mzoga wa paka!maana kuna paka wa mtoto wa dada yangu alitumbukia ktk shimo la choo lenye maji tukamuona kafa lkn baadae tukataka kumtoa kwa mti lkn hatukumkuta!!
 
Mimi nilishawahiona paka anagongwa live na gari tena lililokuwa kwenye speed kubwa tu, nikamwona huyo anadodoka na kuwa kama amekufa. Ile nageuka kuangalia gari iliyogonga huyo paka katika kutaka kuitambua au kujua kama watasimama, ile nageuka upande wa pili kumwangalia tena huyo paka, nikakuta ametoweka. Na kuhakikishia kuwa kamwe asingelikuwa wa kupona...but mysteriously, the thing just vanished before my eyes!!
 
it sounds scary lkn paka wana roho ngumu labda hakufa!!
 
Elezea zaidi tafadhali mkuu X-P.!
Kama unafuga paka, ikitokea amemwaga let say mboga, wewe lalamika kwa kusema nani kamwaga mboga utamsikia tu analia miiiyeee, miiiyeee, uku akiramba ramba kwenye ile sehemu aliyofanya uharifu wake. hapo utajuwa tu kuwa ni yeye...!

Kama ukiona kimya amejikalia pembeni akijiramba ramba ujuwe si yeye.
 
Hivi ukiacha binadamu, ni wanyama gani wengine wale huwa wanachimba shimo au kujitahidi kufukia kinyesi chao kisionekane??
 
endelea kugigle mie naenda kumbonji.usiku mwema!

Gudnite dear! angalia tu usiote paka 17 wanafungua dirisha lako na kuanza kushambulia vidole gumba vyako miguuni na kila ukiwapiga risasi hawafi risasi zinadunda!!!
 
I hate 'em paka i dnt know y! But am not a fan of animals n way.

Paka bwana wanahusishwa sana na uchawi. Kuna baadh ya maeneo watu hu-onyana kua usimpige huyo paka, huenda akawa bibi yake mtu---hence uchawi.

Usijifungie rum ukamkacrisha paka, atakuua! Wanahasira na wanapokua provoked wanaweza kukufanyia kitu mbaya.

Nlishawah ckia ukiwaona paka wanafanya mapenzi, kitu kibaya kitakutokea.
Period
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom