I think am falling...

I think am falling...

Ehee Mungu nisamehee.
Kuna sister moja nilitafuna huko kanda ya kati miaka ya nyuma. Mwezi ulio pita nimepata barua yake yenye maneno mazuri ndani yake kaniwekea mavuzi yake.

We kwamtoro wewe! Isije ikawa sista wa Haubi?
 
Last edited by a moderator:
Ehee Mungu nisamehee.
Kuna sister moja nilitafuna huko kanda ya kati miaka ya nyuma. Mwezi ulio pita nimepata barua yake yenye maneno mazuri ndani yake kaniwekea mavuzi yake.

mmh
noma
 
my number one huyo kwenye avatar

Hahahahahahaaaa!
Nimependa hii!
Lakini Mkuu si ungegongea msumali ktk signature yako!!!
Haki ya nani nö 1 wako mzuli Mmwe!
Nakushangaa ukisua-sua na kisister!
Sa mi ningekutonzoza ingekuwaze sasa?
...
Kama vipi mdogo naye ni sister, unaonaje tukibadilisha? Yaani mimi nikupe sister uache kuhangaika wewe unipe huyo nö 1 wako!!!!! Yap!
 
au hzo stori unazopiganae anavutia picha...hahahahahaha. Ole wao.
 
We kwamtoro wewe! Isije ikawa sista wa Haubi?
No! Kaizer
Ujana una mambo sana, mpaka kumpata aikuwa kazi rahisi sababu mimi siyo muumini wa dhehebu ilo. Ilinibidi nitengeneze urafiki na father kwanza kuomba kujifunza kazi za ufundi.
 
Naona you are on your way to Uzinzi palace and you are proud of it.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom