mhh. Tuna entertainiana
Ehee Mungu nisamehee.
Kuna sister moja nilitafuna huko kanda ya kati miaka ya nyuma. Mwezi ulio pita nimepata barua yake yenye maneno mazuri ndani yake kaniwekea mavuzi yake.
we acha tu, hata ile hofu ya Mungu hawana tena.. Zamani nilikuwa nawaheshimu sana na kuwaogopa juu lakini sikuhizi nawaona washkaji tu!
Mungu anisamehe!!!
Ehee Mungu nisamehee.
Kuna sister moja nilitafuna huko kanda ya kati miaka ya nyuma. Mwezi ulio pita nimepata barua yake yenye maneno mazuri ndani yake kaniwekea mavuzi yake.
yani sometimes ananipigia simu mwenyewe
majaribu si anayataka mwenyewe
na akusamehe kwel! ila kumbuka huyo ni sister...na kama majaribu ya kidunia ww ndo umemuifluence na yy kutaka kufanya hvyo! broo hcho unachokifanya sicho...hv huogopi maradhi kingine try 2 respect your girl af jiheshimu ni utoto huo
sijaomba ushauri
unasimuliwa au ilikutokea kweli? ehm!ila sishangai sana maana hata ma padre wao hututokea, sikuhizi wito kwishnehi
Kwani lazima upokee? Si usipokee,jaribu kukata mawasiliano nae na Mungu atakubariki maana utamsaidia yeye na ataendelea na kazi yake ya kumtumikia Mungu kama kawaida.