I swear huyu ni Mwanamke

I swear huyu ni Mwanamke

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
ImageUploadedByJamiiForums1359704195.038704.jpg
Anaitwa Renee Toney mwanamke body builder(mjenga misuli)na mnyanyua vitu vizito.Renee au Rene wanavyomfupisha asili yake ni Brazil lakini ni raia wa Marekani.
Renee mwaka 2006 alitwaa taji la mwanamke mwenye mwili wa misuli kuliko wote.Ilimchukua miaka 20 hivi kutengeneza mwili huo

attachment.php
 
simtaki asije kunipa majebu bure kitandani
 
[video=youtube_share;9qgMU8f5gs0]http://youtu.be/9qgMU8f5gs0[/video]
 
Huyu anafaa kuolewa ukulyani.lol!
 
sijui kama bado ana hisia za kike za mapenzi! mwanaume atakayemuoa huyo itabidi aishi kama 'kanyau' na huyo mama kama 'mfuga kanyau'! hakuna kukohoa hapo! halafu kama bado ana hisia..basi ni hatari sana maana akiwa anakifikia kilele anaweza kumminya mmewe hadi akamfia mikononi!
 
Mmmmmh! Sasa hawa kwenye mambo yetu yaleeee inakuwaje? Au walishapoteza mzuka na yale mambo? Ni udadisi tu wakuu!
 
Anajinsia ya kike lakini si mwanamke kitabia, hata interest ya kunyanyua mavitu mazito mostly ni ya wanaume tu
 
Back
Top Bottom