Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,117
- Thread starter
- #21
Marire binadamu ndio kagundua silaha, lengo kuu kwa wakati huo ilikuwa ni kwa ajili ya kujilinda na wanyama na kuwindia kwa ajili ya kitoweo lakini polepole na tararibu chuki, hila, wivu, kijicho, choyo na rohombaya vikatamalaki, silaha zikaboreshwa badala ya kuulia wanyama ikawa sasa nikwa ajili ya kuteketeza roho za wengine! Ukisoma habari za Kaini na Abeli katika Bible waweza pata picha kamiliniandike kwa kimbo labda nitapata jibu
who discover wipons.??!
Haya maboresho yote yanayofanywa kwenye silaha ni kwa ajili za kuteketeza roho za wengine
Last edited by a moderator:
