I.s.i.s

I.s.i.s

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1423381481538.jpg
 
Isis wanafadhiliwa na Israel na wale waislamu wanaoenda kujiunga nao wanauliwa.......!!
 
.... prove

Its a known fact. Au kuna kiwanda cha silaha uarabuni? Mataifa yanayoongoza kwa kitengeneza silaha ni usa,israel,china, russia na zote zinajulikana aina.
 
Hata mimi naweza kufeed taarifa ninazotaka mtandaoni. Hujabu swali bado.

Tusichoshane hapa sio debate room, nimekupa njia nyepesi ya kuweza kupoza kiu yako kama haiwezekani basi
 
hayo marisasi ni kwa ajili ya kuulia binadamu au kupasua milima?
 
Tusichoshane hapa sio debate room, nimekupa njia nyepesi ya kuweza kupoza kiu yako kama haiwezekani basi

Hapa ni debate room huwezi kuja na ujinga wako kutulisha habari kama mazuzu utegemee tusihoji.

Kama unashindwa kutetea hoja basi usipost kitu hapa wewe level yako ni ya facebook, hapa tunahoji na kudadisi kila kitu.
 
niandike kwa kimbo labda nitapata jibu

who discover wipons.??!
 
Its a known fact. Au kuna kiwanda cha silaha uarabuni? Mataifa yanayoongoza kwa kitengeneza silaha ni usa,israel,china, russia na zote zinajulikana aina.

Silaha ni mojawapo ya kitega uchumi kikubwa sana States, wasipouza silaha uchumi wao unaweza kuyumba vibaya sana, na amani ikitamalaki duniani silaha za nini tena!? Ndio maana vita haitakaa iishe duniani kwakuwa vita ni uchumi vita ni ajira vita ni maisha ya watu vita ni uwekezaji mkubwa tu ulimwenguni

Waliotuzidi akili hawaachi kutugombanisha ili malengo yao yatimie ni agenda ya siri ambayo ni ngumu kueleweka na wengi
 
Hapa ni debate room huwezi kuja na ujinga wako kutulisha habari kama mazuzu utegemee tusihoji.

Kama unashindwa kutetea hoja basi usipost kitu hapa wewe level yako ni ya facebook, hapa tunahoji na kudadisi kila kitu.

Haya kama kwa kusema hivi imekupunguzia msongo wa mawazo chapa lapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom