I real love you

I real love you

Nyota ya Jahaa hiyo imekuchomozea sema jingine We mtoto bahati imekujua charty
 
Last edited by a moderator:
usijali chagua tu kitengo gani waweza kuwa!!je nkuweke kwenye kammati ya vinywaji
:A S 13:Nipe Kamati ya kutafuta hotel ya bibi harusi kabla ajakutana na bwana Harusi!siku ya harusi!tangu send off harudi kwao anaenda kukaa mikumi atatokea mikumi hotel kule mbugani ndo anakuja kanisani hadi harusini sasa hiyo kamati inanifaa kuwa mwangalizi wa Bibi harusi mtarajali!:behindsofa::behindsofa:
 
beibii angu thinky i miss u!

i miss you too hnypie nakuwaza mpaka kwa kichwaa naambiwa delete someitems afu ntadelete data za mahesabu ya lile bangalo ndo nachohofia ila ucjali nimemeza 'valium na fenagan pills za LOVESEX RELAXMEDICS
 
kiruuuuu!haya mapenzi mpaka shetani anaogopa aisee!
 
:A S 13:Nipe Kamati ya kutafuta hotel ya bibi harusi kabla ajakutana na bwana Harusi!siku ya harusi!tangu send off harudi kwao anaenda kukaa mikumi atatokea mikumi hotel kule mbugani ndo anakuja kanisani hadi harusini sasa hiyo kamati inanifaa kuwa mwangalizi wa Bibi harusi mtarajali!:behindsofa::behindsofa:

aiseeee!!umetiisha...!:wave:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom