I Phone 4 unlocking

I Phone 4 unlocking

Clarity

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Posts
1,963
Reaction score
2,917
WAkuu msaada namna ya kufungua simu ya I Phone 4 ni mpya ,maana nimejaribu kuuliza kwa mafundi gharama wanayotoza ni kubwa sana kama kuna mwenye msaada please naomba kusaidiwa
 
price ya ku unlock ya iphone ina depend on baseband yake. unaweza kutumia itunes kupata unlock yake na itacost kama 39$. basebands zingine unaweza kutoa kwa jailbreak kwa washikaji ka mimi 😛 kwa bei che.. so baseband ndo itasema. mfano kama ina baseband ya 4.12.01 au 4.11.08, utapata shida sana
 
WAkuu msaada namna ya kufungua simu ya I Phone 4 ni mpya ,maana nimejaribu kuuliza kwa mafundi gharama wanayotoza ni kubwa sana kama kuna mwenye msaada please naomba kusaidiwa

Tuma imei yako kwangu 0715353108 ni kuangalizie gharama yake.
au kama unajua imetoka nchi gani na mtandao gani niambie nitakusaidia.
 
nina GAVEY simu kadi ambazo hutumika kuanlock iphone 4 .sema una kiasi gani KAMA haikuwezekana hulipi chochote ni PM
 
nina GAVEY simu kadi ambazo hutumika kuanlock iphone 4 .sema una kiasi gani KAMA haikuwezekana hulipi chochote ni PM

wewe ndio ulipashwa umPM kuliko kumwambia akuPM mkuu afu chengine kuna member walishaonesha jinsi ya kuunlock iPhone kwa kutumia Jailbreak ili kumsaidia itabidi iwekwe link hapa ajionee mwenyewe..
 
WAkuu msaada namna ya kufungua simu ya I Phone 4 ni mpya ,maana nimejaribu kuuliza kwa mafundi gharama wanayotoza ni kubwa sana kama kuna mwenye msaada please naomba kusaidiwa

Hi urahisi unaweza kufungua iphone4 yako kwa kutumia kijijini kufungua njia. Kama unahitaji kurejelewa kijijini huduma kutembelea tovuti hii Mobile-unlocker.com hapa unaweza kupata huduma kwa gharama nafuu na kufungua iphone4 yako kwa urahisi.
 
nenda ...settings...generall..about phone >>
taja: s0ftware version
:modem firmware version
halafu ...tukusaidie
 
Back
Top Bottom