Hello, wajenzi wa Taifa, kwema?
Nahitaji kununua I PAD mpya, Ipi ni bora zaidi kati ya Sumsung na apple? Ni wapi naweza kupata quality nzuri hapa Dar? What things should i consider as important when serching? How does the price range? Thanks in advance.
Naomba nikurekebishe mkuu, sio "I PAD", ni "iPad". iPad ni product ya Apple inc., so that leaves samsung out of the equation. Kama sijakosea unatafuta tablet na kutokana na how the iPad na samsung tablets are mainstream naona zote unaziita iPad.
Things to consider when buying any tablet:
Fikiria matumizi yako yatakuwaje
Gharama yake ikoje
Are you bound to any ecosystem?
Battery life + connectivity na spec nyingine za kawaida.
Ama ulimanisha i paid? Lol
iPad ni nzuri sana kwa kutunza umeme. Unaweza kujivinjari kwa muda mrefu bila hofu ya chaji. Ila samsung tab latest ina vitu vitamu kuliko iPad. Lakini kwangu mimi iPad is still the best.
Asante kwa kunijuza.Ungeweza kugoogle bei zake pia na ukajionea dukani. Kwenye mtandao angalia reviews za watumiaji wengine upate idea wamepata changamoto gani. Mlimani city unaweza kupata iPad reliable kidogo na samsung tab unaweza angalia maduka yao hapo.