Mkuu;
Hapo juu vipi? Ndio umemjibu Kingmairo unajuaje kama anaifahamu ipad 3 nyingine? Muache mwenye thread aweke specs hapa, au kama unafahamu basi ziweke!
Mkuu pamoja na kuwa ni kweli unachosema lakini kama unafanya marketing ya product sio vizuri kufanya assumption kuwa lazima customer atakuwa anajua features za product yako (wapo wengi tu wanaijua na pengine kuiona ipad 3 lakini hawazijui specs zake). Lakini pia, kwanini mie kama mteja ni-assume kuwa hii product lazma itakuwa na specs flani katika zama hizi ambazo fake products zimezagaa? Kwa grounds hizi, kama una dhumuni la kumshawishi mteja weka open every detail then mteja atafanya tu kuconfirm hizi specs ni za kitu original au hapana.