I pad 3 sokoni

eddy88

Member
Jan 26, 2011
73
4
I pad 3 inauzwa
used katika hali nzuri sana,
WIFI + 3G
16GB
nipo dar
inahitaji laki 6 tuu
nichek 0786-305664
 
Mkuu mbona huwezi kabisa kumarket product yako. technical details kibao umeziskip. Mfano RAM ngapi? Processor? Camera? screen resolution? Battery capacity & condition etc
 
Mkuu mbona huwezi kabisa kumarket product yako. technical details kibao umeziskip. Mfano RAM ngapi? Processor? Camera? screen resolution? Battery capacity & condition etc
ndugu,
i pad 3 zote zina same specs. Resolution, batt, camera, ram. Tofauti ipo kwenye capacity na 3g+wifi tu.
na jamaa kashaeleza.
 
ndugu,
i pad 3 zote zina same specs. Resolution, batt, camera, ram. Tofauti ipo kwenye capacity na 3g+wifi tu.
na jamaa kashaeleza.

Mkuu;
Hapo juu vipi? Ndio umemjibu Kingmairo unajuaje kama anaifahamu ipad 3 nyingine? Muache mwenye thread aweke specs hapa, au kama unafahamu basi ziweke!
 
ndugu,
i pad 3 zote zina same specs. Resolution, batt, camera, ram. Tofauti ipo kwenye capacity na 3g+wifi tu.
na jamaa kashaeleza.

Mkuu pamoja na kuwa ni kweli unachosema lakini kama unafanya marketing ya product sio vizuri kufanya assumption kuwa lazima customer atakuwa anajua features za product yako (wapo wengi tu wanaijua na pengine kuiona ipad 3 lakini hawazijui specs zake). Lakini pia, kwanini mie kama mteja ni-assume kuwa hii product lazma itakuwa na specs flani katika zama hizi ambazo fake products zimezagaa? Kwa grounds hizi, kama una dhumuni la kumshawishi mteja weka open every detail then mteja atafanya tu kuconfirm hizi specs ni za kitu original au hapana.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom