Ronal Reagan
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,298
- 3,061
Tatizo letu sisi Watanzania, we are beggars, and beggars are not chooses, we have no choice but to pay ili tuendelee ku beg!.
Tusipolipa, wale wategemezi wetu watatukasirikia!, hivyo acha tuu tujilipie ili tuendelee kuomba!.
Kwenye thread yangu ya "Mahakama Kuu ya Tanzania kuzuia malipo kwa Dowans," Mzee Mwanakijiji ulitoa maoni yafuatayo Januari 4, 2011, na ninanukuu:
"walipeni yaishe jamani.. hatuwezi kukaa na Dowans mwaka wa tatu sasa! c'mmon now.. Sisi sote ni watu wazima; we all know what happened, and we also know why it happened. We are acting as if this is so extraordinary or unthinkable to have happened. We screwed up, its time to pay up!"
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-ya-tanzania-kuzuia-malipo-kwa-dowans-4.html
Nilishtushwa na maneno yako mpaka nikauliza: "Who are you and what have you done to the real Mzee Mwanakijiji?"
I'm so glad to see the real Mzee Mwanakijiji is now back!
Fareed, nadhani ulimiss kabisa irony ya nilichokuwa nasema kwenye ile thread; wanaofahamu ushiriki wangu kwenye suala hili walielewa nasema nini. Upande mmoja nataka walipwe ili turasimishe ufisadi uliokusudiwa kutoka mwanzo lakini upande wa pili hata shilingi moja kwenda kwenye ufisadi ni mzigo kwa Watanzania.
unafanana na mhariri wa Tanzania Daima..............
Lets stand together to oppose tyranny of the single party!
Hope jamii ya Intelijensia itakuwa imelala, maana sasa hivi wako na harakati za kuandaa maandamano/ matembezi ya mshikamano ya ccm nchi nzima ili kuleta amani na utulivu . Kwa kufanya hivyo CC inaamini wa TZ watafunguka na kuyaona madhambi yote ni neema (i.e neema zilizoletwa na ccm incl. Richmond, Dowans , ATCL ,RITES ---> bila ya sisiemu yote haya yasingekuwepo). Mwenye taarifa za intelijensia juu ya lengo baya lililo nyuma ya maandamano ya 05/02 tunaomba amfikishie IGP ayapige marufuku.Naomba Chadema kuandaa maandamano nchi mzima kwa muda wa wiki moja kwenye mikoa yote kuanzia kwenye kila kona na kuelekea kwenye ofisi za wakuu wa mikoa na Dare Es Saalaam kuelekea Ikulu kila siku kwa muda wa siku tano kuanzia saa moja asubuhi. Hakuna sababu ya kufanya kazi katika kipindi hicho ni maandamano tu.