Nilikuwa mpenzi wanguu ambaye tumebahatika kupata mtoto mmoja,mwenye umri Wa miaka miwili na miezi mitano sasa,lkn hivii karibuni niliaachana na mama wa mtoto huyuu lkn mtoto yupo naee ilaa amempeleka kwa ndugu yake na yeye anaishi mwenyewe na nilipomwambiaa kuwa mm namuomba huyooo mtoto nimlee mwenyewe amekataa na kusema atamleaa yeye,wakt mm naonaa yeye Kama hawezi na ndio hi ivyoo kampeleka kwa ndugu yake,hebu mnisaidie wataalamu sheriaa ikoje ili mm nimpate mtoto