Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,091
- 165,235
Na wewe unajipelekaga??
Kuna samaki asiekula chambo?
Na wewe unajipelekaga??
Kuna samaki asiekula chambo?
Mwanaume huwa haombi kupendwa, tafuta hela wenyewe tutajileta....
Mwanaume huwa haombi kupendwa, tafuta hela wenyewe tutajileta....
Aya tunakuja pm
Mwanaume huwa haombi kupendwa, tafuta hela wenyewe tutajileta....
Hahahaha hapa Egyptian calendar lazima ihusike. Mtu sura imekomaa na mashavu hadi yanachuma kunde but anajifanya mtoto lol
ha ha ha am teenager lol
hee huna habari? karibuni tu tutapata baby boy
We wa #teambazazi uko ndani ya ndoa au nje ya ndoa huyo mtoto wako na ICHANA