juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,483
Kumbe Ushawah Kuwa Na Waliokupenda Ukawachezea. Iyo My Dear Ni Cycle So Vumilia Tu Mpaka Ukifikisha 40s Utakua Ushajifunza Si Eti Eeeeh.
Ndo nilichoamua kwa sasaMrudie Mungu hutajuta
Mungu akapate kukusaidia na kufungua njia yako nahatimaye upate kile unachokikusudia ,,,Thanks so much kwa ushauri wako......nimependa sana nitafanyia kazi
You are the best person......Mungu akuzidishie pale palipopungua......i felt something baada ya kusoma your thread......thanks once againMungu akapate kukusaidia na kufungua njia yako nahatimaye upate kile unachokikusudia ,,,
kwa ushauri wowote ule concerning about Healthy ,,Psychology na maisha usisite kuniomba ..nyinyi ndo jamii yenyewe.
Its because you are expecting much from a relationship. If you make a relationship as something to offer you the basics and not the luxuries, you will last for years n years trust me...two weeks? i cant stay even for two hours
Thanks for your adviceYou seem to know all the problems that hinder your not lasting in relationships but probably you can't identify them as the problems.
You cheat/cheated on this you already have a feeling that you are being cheated on even if you are not just because you once did it. Accept that it is possible to be in a relationship without any of you cheating on the other. Sometimes false accusations lead to break ups.
It's clear you can not compromise in a relationship and you think only you deserve to be treated right
There is saying "what goes around comes around", whatever wrong you do to somebody it always catches back to you in unexpected ways.
You need to come to terms with the fact that you are just a normal human in the sense that you are not immuned to having feelings, appreciate any tokens of love while in a relationship but most of all learn to accept that relationships are meant to be mutual, compromising, agreeing to disagree and meeting half way not always having your way. It's ok to be wrong and admit that you are wrong and also it's absolutely fine to show your true feelings without appearing weak. Maybe you will last longer than 2 weeks. Learn to be a girl once in a while.

Mtoa mada hana lolote.. Anatufuta friends with benefit... One night stand only...
PoaKwa hapo hapana labda mengine
Perfect indeedSound serious, you need to see a psychologist. Mtu mzima wa kawaida hawezi kuwa na hali kama yako, kuna kitu labda umekiona kwa watu wako wa karibu kimekufanya uwe reserved. What you are doing is to protect your feelings, unaogopa kuumizwa something like that. Una hitaji professional advise and treatment.

What goes around comes aroundAm not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called relationships na hii naona kama ni punishment kwa kuwa kipindi cha nyuma niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho.....Naomba Mungu anisamehe kwa hili,sikuwa nawaamini wanaume kabisa na mpaka leo hii ila kuna ambao walionesha upendo wa dhati but i didn't pay them much attention......i do regret🙁
Nimesema yote haya kutokana na shida nazopata sasa hivi yani nachukia kutafuta wanaume😛😛 na hata kama ikatokea nikapata boyfriend uwa haizidi kukaa nae for more than two weeks🙁 na wengi ambao nakutana nao uwa naona wana mambo mengi......nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
Wanaume mnapoona msichana anajitolea kukucare muwe mnajiongeza basi na sio kuanza kujiona kama mnapendwa sana na kwamba huyo msichana atakuvumilia kwa chochote.....maybe wapo ila mimi uwa siwezi#i think is one of my weakness😉
Kinachoniumiza why can't i stay in a relationship longer than two weeks?....
Kwa sasa nadhani nahitaji msaada wa kimawazo
Am not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.
Nimetokea kuumizwa sana na so called relationships na hii naona kama ni punishment kwa kuwa kipindi cha nyuma niliweza kuwaumiza ambao nilidate nao and i didn't care kwa kipindi hicho.....Naomba Mungu anisamehe kwa hili,sikuwa nawaamini wanaume kabisa na mpaka leo hii ila kuna ambao walionesha upendo wa dhati but i didn't pay them much attention......i do regret🙁
Nimesema yote haya kutokana na shida nazopata sasa hivi yani nachukia kutafuta wanaume😛😛 na hata kama ikatokea nikapata boyfriend uwa haizidi kukaa nae for more than two weeks🙁 na wengi ambao nakutana nao uwa naona wana mambo mengi......nilishacheat sana so najua yupi mkweli na yupi muongo
Wanaume mnapoona msichana anajitolea kukucare muwe mnajiongeza basi na sio kuanza kujiona kama mnapendwa sana na kwamba huyo msichana atakuvumilia kwa chochote.....maybe wapo ila mimi uwa siwezi#i think is one of my weakness😉
Kinachoniumiza why can't i stay in a relationship longer than two weeks?....
Kwa sasa nadhani nahitaji msaada wa kimawazo
I agreeWhat goes around comes around
Nashukuru sana kwa ushauri wako na kwa sasa hivi nimeamua kufanya mambo yangu na ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa wepesi wa kuweza kusahau mambo ya mahusiano kwa mapema......A couple of things.
Kwanza, the most important na interesting thing ambayo wengi huwa hawafanyi ni kujitambua na kukiri- you put it very clear what you did in the past, that you know it was wrong ! Hii stage ni muhimu sana.
I think issue yako ni more psychological than anything else. Ukiwa mwizi, unajua mbinu, signs na approach zote za wizi so ukiwa mahali hata kama umeacha ukiona tu hata dalili moja you get that what we call "light bulb on" kwamba mhh lazima nataka kupigwa hapa na whatever reaction you have- body language, verbal au physical ndiyo inafaya relationship zako zinakufa ! Natumaini huu mfano ni rahisi sana kueleweka..
Sio rahisi na sisemi it is the only solution lkn just relax, settle your mind kuwa the past is past na acha process ya kupata mtu iwe smooth. Husiwe desperate na don't freak out on small stuff assuming unaibiwa au karibia ibiwa, obvious sali na relax. Kama ni mtu wa mazoezi, fanya mazoezi routinely, kama sio start with walks, jog, na massage- hii ni muhimu sana watu wengi hawajui wanafikiri ni luxury !
Sijui mazingira yako hasa, live at home or alone but also things like movies, hanging out with friends nazo zinasaidia. I could go on and on but a simple message....let things go !
Hako ni kalaana kanakutafuna Slowdown nenda ukaombewe yani Nikupe hata Nusu Ya Mshahara wangu Halafu Uniache Solember what Do you Expert???Am not a good writer mtanisamehe kwa uandishi wangu and am sorry for my inconvenience kutokana na threads zangu tofauti tofauti ambazo wengine uwa hawapendi.