KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Ebu acha taralila usituzuge hapa...! Mambomambo umetumika tangu umevunja beseni mpaka leo sometime mnawekwa pending mtu akiona usomeki unapigwa chini anabemba fresh toto..! Wenzio ni funzo kuolewa mahesabu mama mnaojifanya mnàjua kusoma mtaolewa na masters na PhD zenu, nani anataka bibi kisa ana elimu kubwa??? Tafuta mseja ukamsaidie kulea wanawe...Kuna mambo mengi yanayoweza kumchelewesha mtu isitoshe sihitaji jokes..kama hujaguswa pita kimya kimya
!