I need advice from zoom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I need advice from zoom

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Nyam, Jul 10, 2012.

 1. Nyam

  Nyam Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ningependa kupata ushauri kutoka Zoom,mimi npo chuo kikuu ndo naingia mwaka wa 3 nasomea Business Administration in Accounting, session ya jioni,je kama tangazo la kazi limetoka linamtaka mtu mwenye Diploma na me sina Diploma naweza kuapply nikapata?
   
Loading...