Aya bwana kila kheri.Nataka awe yule ambaye sitaona aibu kumtambulisha, atakayenifanya niwe nawahi kurudi home ili nimwone.....na mengine mengi
Hahahaa Ashadii u one of them?
weka picha baab
unataka msichana ambae atakufanya usione aibu kumtambulisha, na wewe? Una uhakika kwamba atajisikia raha kukutambulisha?Nataka awe yule ambaye sitaona aibu kumtambulisha, atakayenifanya niwe nawahi kurudi home ili nimwone.....na mengine mengi
unataka msichana ambae atakufanya usione aibu kumtambulisha, na wewe? Una uhakika kwamba atajisikia raha kukutambulisha?
siku nikiungua ndo byebye sio?nataka awe yule ambaye sitaona aibu kumtambulisha, atakayenifanya niwe nawahi kurudi home ili nimwone.....na mengine mengi