I need a girl, ila awe mrembo haswa....kama unajiamini talk to me...

Hapana bhana coz hata huo utambulisho sio kila siku unatambulishwa tu, well maana hata ukiugua si nitakupeleka hospitali huko pia kunatakiwa kuwe na utambulisho ila ukishakuwa wa kwangu then "Vigezo na masharti" vinapungua pia naweza ku accommodate vya kwako pia
 
mi sio mrembo bwana icho kigezo kimenishusha maskini labda nijaribu uchina
 
Angalia usitamani na vingine visivyotamanika, ukikutana na mzuri kweli kweli lakini 24/7 yuko kwenye kioo atakuhudumia saa ngapi? majuto ni mjukuu, mke mzuri hapimwi kwa sura nzuri.
 
Angalia usitamani na vingine visivyotamanika, ukikutana na mzuri kweli kweli lakini 24/7 yuko kwenye kioo atakuhudumia saa ngapi? majuto ni mjukuu, mke mzuri hapimwi kwa sura nzuri.
Mh hilo nalo neno mamy! Dah unanifanye nigeuzie mwelekeo kwako maana una akili ya kutizama mambo kwa upana wake
 
Back
Top Bottom