ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,286
- 19,463
Daaah..!! Ngoja nikasome, hii form 4 inanikosesha wachumba..
Ayaaaaaa.🙁🙁🙁..ndo nishakukosa tayari...vigezo na masharti kuzingatiwa? au kuna some exceptions 😀😀😀😀😀Hellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Ngoja nichangamkie fursa hiiHellow:
Mimi ni msichana wa miaka 28 and am single,ningependa kupata boyfriend ambae nae yupo single
Vigezo:
Age: above 28
Education: degree and above
Daaah..!! Ngoja nikasome, hii form 4 inanikosesha wachumba..



wanataka wa degree tuu, kama unaomba kazi vileeeeeAcha kiherehere subiri tangazoNisubiri pm.
Tuje kua case study ya hili swali lako.
Acha kiherehere subiri tangazo
Kiherehere chote mfukoni.

wanataka wa degree tuu, kama unaomba kazi vileeeee
Umeambiwa degreeKwa sisi tusiokuwa na Degree lakini Kimaisha tuko equivalent to Degree Je????
Kimbia usirudi hapa![]()
Kiherehere chote mfukoni.
Mi yuleeee![]()
![]()
![]()
DigiriiVigezo hujatoa
Na baridi hii"
We huwez kupata na hiyo Avatar yako mkuu lbd ubadilishe kwanza..
acha kuninyanyapaa mkuuNdo ukweli mkuu![]()
![]()
acha kuninyanyapaa mkuu