I need a born again husband

Umri mbna hujasema,au ht kibabu sawa tu. Km wataka waliozaliwa mara ya pili kanisani ingekuwa sehemu husika zaidi.
 
Wachagga tuna bahati mbaya sana. Sijui tumemkosea nini Mungu.......

Huyo mtu aliyezaliwa tena,(born again) alikuwa amekufa?
 
Wachagga tuna bahati mbaya sana. Sijui tumemkosea nini Mungu.......

Huyo mtu aliyezaliwa tena,(born again) alikuwa amekufa?

hapana hamjamkosea Mungu ila kuna vitu kama mila na mambo ya kuabudu mizimu ambayo hupelekea mume kuvutwa na ndugu,na mwnaume wa kichaga akiokoka huwa hapendi kwenda kwao kwa kuogopa kufanya mila
 
Wachagga tuna bahati mbaya sana. Sijui tumemkosea nini Mungu.......

Huyo mtu aliyezaliwa tena,(born again) alikuwa amekufa?

hapana hamjamkosea Mungu ila kuna vitu kama mila na mambo ya kuabudu mizimu ambayo hupelekea mume kuvutwa na ndugu,na mwnaume wa kichaga akiokoka huwa hapendi kwenda kwao kwa kuogopa kufanya mila,na kuzaliwa mara ya pili ni kule kuokoka kwa kumaanisha kuziacha dhambi zituzingazo kwaupesi kama ulevi,uzinzi,uasherati,ugomvi,uongo,wizi na mambo yafananayo na hayo,kwa kifupi ni mada pana inayohitaji m2 akufundishe
 
Have u tried 'PUSH'?
Pray
Until
Something
Happens
Hapa utapeliwa tu, achana na hizo gredi ulizojiwekea na uwape nafasi vijana single unaosali nao. Kama ODM hapo ni mzungu, anakuzingua kuwa yeye ni mchaga!
 
Have u tried 'PUSH'?
Pray
Until
Something
Happens
Hapa utapeliwa tu, achana na hizo gredi ulizojiwekea na uwape nafasi vijana single unaosali nao. Kama ODM hapo ni mzungu, anakuzingua kuwa yeye ni mchaga!

mkuu umenifurahisha na kunifumbua macho asante!
 
Hiyo namba 5. wewe vipi ni bikra?
isije ikawa jamaa wamepita weee ukakimbilia kanisani sasa unaibuka ule unafiki wetu wa kibongo
 
naweza nikakufaa, sifa zote ninazo uni pm.
 
Nyafe, You are a good girl!

Congratulation for having such a wonderful idea! I am sure God is with you now and forever!

Now you tell me how are you going test and justify ... the "requirements" and especially that He is genuine a born again husband? Can you real do that? Ki vipi mpenzi!!
 
We unaishi wapi, na kama upo serious kweli vema lakini kumbuka kama wewe kweli ni mcha mungu ni lazima useme kweli kwani MUNGU hadhihakiwi na yeye ni MUNGU wa rehema na vilevile ni mwenye hasira.kwa ufupi mimi nakufaa but kwanza lazima tuongee na ikibidi tuonae kwa mazungumzo zaidi. mi nko serious na Mungu akubariki "Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna Jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo" AMEN
 
Mi nina umri wa miaka 27, nina elimu ya shahada, nafanya kazi katika kampuni fulani la umma! Ni mwembamba wa wastani. Na nimeokoka. Ni mrefu wa wastani! Nimependa informations/ cv yako. Are u ready???....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…