i missed u

siju linaandikwa na 'i' mwisho au lah ila lina maana ya 'rafiki', 'shoga yangu'

wale wanaokenda 'deep' watatoa maoni yao ila kwa mimi na cheusi hivyo ndivyo tulivyo maanisha

Afu na wewe acha kusmoki ungali mdogo hivo kheee!!!!

Si unajua hii mijibaba inayotuma watoto kuwasha sigara? Hapo najaribu kuimpup ipate moto sawa sawa wani nimeshwa kwa jiko la mkaa lol!
 
I will sue that jibaba linalokutuma....ngoja niperuzi sijui kifungu gani kitafaa (if at all kipo)
 
Hili neno kwenye bold linmaanisha nini hasa enyi mahayo kwenye bold?

RayB na ww shost ni kama rafiki vile wa kike/mdada ..usije kwenda ita wanaume wenzio shost🙁
 
I will sue that jibaba linalokutuma....ngoja niperuzi sijui kifungu gani kitafaa (if at all kipo)

Nisaidie bana inaharibu kifua changu hii mijitu
 
siju linaandikwa na 'i' mwisho au lah ila lina maana ya 'rafiki', 'shoga yangu'

wale wanaokenda 'deep' watatoa maoni yao ila kwa mimi na cheusi hivyo ndivyo tulivyo maanisha

Afu na wewe acha kusmoki ungali mdogo hivo kheee!!!!

RayB na ww shost ni kama rafiki vile wa kike/mdada ..usije kwenda ita wanaume wenzio shost🙁

Ahaa manake nilikuwa nataka kucheki shosti yangu Masa lol kumbe angenitokea kwenye screen eeh!?
 
Oooh Cheu siiii,mpaka naishiwa la kusema. We really missed u badly baby!
 
Ahaa manake nilikuwa nataka kucheki shosti yangu Masa lol kumbe angenitokea kwenye screen eeh!?

weee ungejuta kumfahamu mpemba yule.....
 
Jana nilivyoshinwa kulog in nikajua nimekuwa banned coz nilikuwa away for sometime. Leo asubuhi nilipoisoma post ya jinsi ya ku log in nikajaribu ikakubali nilifurahi sana. Kweli Jamii is now part of my daily routine. Big up kwa great thinkers wote.
 
shosti, wewe wa Chrispin, Kaizer, Bigirita sasa who z who.

shost we acha tu hii kitu ikikosekana siku huwa ndefu

shosti unanionea jamani.. me i belong to all mpwaz.i love them all u know,hao uliowataja ni baadhi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…