wiseboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 2,930 Reaction score 3,314 Aug 29, 2012 #21 aaah kumbe hapo karbu tu mlimani, ngoja tutafutane nyuma ya mtungi (PM) tutembeleane....! nakuletea zawadi ya kiyoyozi ya OKTEC coz joto laja.
aaah kumbe hapo karbu tu mlimani, ngoja tutafutane nyuma ya mtungi (PM) tutembeleane....! nakuletea zawadi ya kiyoyozi ya OKTEC coz joto laja.
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Aug 29, 2012 #22 sweetlady said: Huyu ni dada wa damu charminglady......wewe mzima eeh? Click to expand... woooh,nilikuwa simfahamu kabisa. happy to know u WiseLady! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sweetlady said: Huyu ni dada wa damu charminglady......wewe mzima eeh? Click to expand... woooh,nilikuwa simfahamu kabisa. happy to know u WiseLady!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Aug 29, 2012 #23 WiseLady said: niko salama wiseboy,sasa pacha wangu si wiseman jamani wewe unakuwa my son...mzima lkn? marhaba my charmingal,kwa hakika mimi ni dada yenu kabisa,karibu mlimani...:flypig: Click to expand... asante swit dada, ntakaribia but sipajui hebu nielekeze!
WiseLady said: niko salama wiseboy,sasa pacha wangu si wiseman jamani wewe unakuwa my son...mzima lkn? marhaba my charmingal,kwa hakika mimi ni dada yenu kabisa,karibu mlimani...:flypig: Click to expand... asante swit dada, ntakaribia but sipajui hebu nielekeze!
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,498 Aug 29, 2012 #24 charminglady said: woooh,nilikuwa simfahamu kabisa. happy to know u WiseLady! Click to expand... Ndio ujue thatha lol WiseLady sweetlady charminglady Raha sana......ila sema siku hizi WiseLady majukumu ya kitaifa yamembana sana ndio mana unaona kapotea kidogo! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
charminglady said: woooh,nilikuwa simfahamu kabisa. happy to know u WiseLady! Click to expand... Ndio ujue thatha lol WiseLady sweetlady charminglady Raha sana......ila sema siku hizi WiseLady majukumu ya kitaifa yamembana sana ndio mana unaona kapotea kidogo!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Aug 29, 2012 #25 sweetlady said: Ndio ujue thatha lol WiseLady sweetlady charminglady Raha sana......ila sema siku hizi WiseLady majukumu ya kitaifa yamembana sana ndio mana unaona kapotea kidogo! Click to expand... ok my sis, luv u all. . . . Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sweetlady said: Ndio ujue thatha lol WiseLady sweetlady charminglady Raha sana......ila sema siku hizi WiseLady majukumu ya kitaifa yamembana sana ndio mana unaona kapotea kidogo! Click to expand... ok my sis, luv u all. . . .
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,887 Aug 29, 2012 #26 WiseLady said: Mpendwa kilio chako kimesikika nami nimeshuka toka mlimani kukusabahi kwa upendo ule ule,mahitaji yakuombea yamekuwa mengi na wanamaombi kama Zion Daughter na Kaizer the Pope wamekuwa wavivu...otherwise naamini unakumbuka ahadi.Barikiwa:A S 465: Click to expand... unapotea sana mhandisi.......habari za project....?.....naona barabara zinazidi kung'aa........
WiseLady said: Mpendwa kilio chako kimesikika nami nimeshuka toka mlimani kukusabahi kwa upendo ule ule,mahitaji yakuombea yamekuwa mengi na wanamaombi kama Zion Daughter na Kaizer the Pope wamekuwa wavivu...otherwise naamini unakumbuka ahadi.Barikiwa:A S 465: Click to expand... unapotea sana mhandisi.......habari za project....?.....naona barabara zinazidi kung'aa........
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Aug 29, 2012 #27 muulize Asprin,hakuna mwanamke 'hawafahamiani' humu jamvin. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016