I Miss You Wiselady..... Uko wapi nikufuate?

Mwita Maranya

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2008
Posts
10,565
Reaction score
7,996
Miongoni mwa watu muhimu sana niliopotezana nao during mfungo wa mwezi mtukufu ni @wiselady.
Hivi huyu mwanamaombi amejificha/ amefichwa wapi na nani!!??

Yeyote aliyemuona naomba anivutie waya fasta......
 
Kama ni mwanamaombi basi atakuwa amepanda mlimani, wee endelea kumsubiri tu hapo chini.
 
Kama ni mwanamaombi basi atakuwa amepanda mlimani, wee endelea kumsubiri tu hapo chini.

Wajad inawachukua muda gani kushuka toka huko mlimani?
Naona dalili za kuchoka kusubiri zinaninyemelea!
 
Last edited by a moderator:
Miongoni mwa watu muhimu sana niliopotezana nao during mfungo wa mwezi mtukufu ni WiseLady.
Hivi huyu mwanamaombi amejificha/ amefichwa wapi na nani!!??

Yeyote aliyemuona naomba anivutie waya fasta......

Mpendwa kilio chako kimesikika nami nimeshuka toka mlimani kukusabahi kwa upendo ule ule,mahitaji yakuombea yamekuwa mengi na wanamaombi kama Zion Daughter na Kaizer the Pope wamekuwa wavivu...otherwise naamini unakumbuka ahadi.Barikiwa:A S 465:
 
usingemtafuta mi ningemtafuta coz hata mm nilim-miss! how are u my pacha wiselady,
 
usingemtafuta mi ningemtafuta coz hata mm nilim-miss! how are u my pacha wiselady,
niko salama wiseboy,sasa pacha wangu si wiseman jamani wewe unakuwa my son...mzima lkn?

shikamoo dada, hivi we ni dada yetu me na sweetlady ama ni majina tu ndo yamefanana?

marhaba my charmingal,kwa hakika mimi ni dada yenu kabisa,karibu mlimani...:flypig:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…