I Miss you Husninyo

I Miss you Husninyo

aidiii yako ya zamani?
😅😅 Bro nakukumbuka sana, alafu haukuja kwenye white party ya pale Keb's eeh.. Hivi mzee mtambuzi yupogo wapi .. kuna siku tupo pale kwemye kajiwe kamoja kinondoni kule, na kina zio daughter.. ilikuwa rahaaa sanaaa.. kina Lady furahia kinana mmoja machachali aliitwa Mathematics 😅😅
 
Nyie ndio mliokuwa mnakuja kwa kuficha aidiii...I was one of few mates who showed up at Kebby's, came a bit late...

"Leo tupo hapa pub" ilikuwa Mwananyamala na sio Kinondoni...

Nimepotezana na raia wengi wa wakati huo including Mtambuzi & co, but still in touch with few...

Bro mie nilikuja Kebby's na siku ile Vin Diesel alikuwepo na Paloma alikuwepo walipendeza sana bila sahahu Madame B, na hata max si alijua. Nilikuwepo
 
Nyie ndio mliokuwa mnakuja kwa kuficha aidiii...I was one of few mates who showed up at Kebby's, came a bit late...

"Leo tupo hapa pub" ilikuwa Mwananyamala na sio Kinondoni...

Nimepotezana na raia wengi wa wakati huo including Mtambuzi & co, but still in touch with few...
Ilishafanya uharibifu.......just thinking.
 
Back
Top Bottom