Aiseee
Nawe pia bora umekuja, nijakutia machoni siku nyingi brother, salama lkn!
she is bussy with her thing
Brother nipo ndugu yangu ila tu kushikwa hapa na pale!!!
Vipi wewe kaka, uko mzima??!!
NAuza ubuyu wa pemba hapa, tufanye biashara?Tupo tunakula ubuyu hapa,
nipo kaka yangu,Kiukweli nimeimisi sana michango ya huyu mwana dada hapa MMU. Nimmoja wa wana JF ambao nawakubali sana kwenye kutoa nasaha na kuchangia mada mbali mbali hapa jamvini. Tafadhali popote pale ulipo, naomba ujuwe kwamba tumekumisi sana hapa jukwaani (MMU).