I MISS YOU[emoji174][emoji188]

I MISS YOU[emoji174][emoji188]

Bhagavan

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2017
Posts
2,031
Reaction score
2,950
Ni matumaini yangu wana JF na hasa wadau wote wa MMU tupo vizuri tunaendelea na majukumu ya kulijenga taifa.

Hakika maisha ni safari ndefu sana inatukutanisha na watu ambao kwa muda wanakuwa ni marafiki na hata kuwa wapenzi na wengine hufika mbali na kuwa wanandoa. Lakini kwa namna moja ama nyingine rafiki, wapenzi ama mwanandoa wako anakuwa mbali nawe kutokana na sababu mbalimbali ama kuvunjika kwa mahusiano hayo. Lakini ni UKWELI USIOPINGIKA kwamba wanaondoka katika maisha yetu ilhali bado tuna wahitaji waendelee kuwepo. Tume waweka mioyoni na hata kutawala akili zetu na hili halikwepeki kwa yoyote yule aliejihusisha ama anajihusisha na mahusiano yawe ya kirafiki ama mapenzi. Wametuachia historia fulani katika maisha yetu inayotufanya tuwakumbuke na hata kutamani uwepo wao japo kwa dakika kadhaa.

Wafuatao nimewamiss sana

1. Suzy , mpole mwenye mapenzi mazuri, mpole,nimemiss unavyopenda kulia lia hovyo

2. Husna , nimemiss sana vituko vyako na ushamba wako kila kitu ww hujui

3. Fatma ulikimbilia mombasa mtoto wa kimanga wewe dah, nimemiss kile kipua chako kama pinokio

4. Shadya, we mwanamje ulikuwa mbahili si kitoto du nimemiss unavyojuwa kulia shida

5. Sandra, mtoto wa sinza mapambano jeupe limenona mashaallah, ninemiss uwongo wako we mwanamke ni muongo muongo, maisha yako feki, maigizo yako yananicgekesha kila nikikumbuka

6. Amina uko wapi siku hizi, ninemiss ile mitonyo ulokuwa ukinitoa napopigika japo hukuwa mkali hivyoooooooooo ila ulikuwa si mbahili.

7. Salma jamani we mwanamke una nini nilikupendaga sana halafu ukaja kuzinguwa bila sababu aaaaarggghhh, ninekumiss sana yale mayenu yale sio ya sayari hii dah. Miuno feni spidi kama zote[emoji39] [emoji39]. Sema nawe ulikuwa unapenda kujuwa mambo ya siyo kuhusu

Hawa wanatosha ni watu ninao wamiss sana sometimes, najuwa nawe unao/unae ambao/ambae una mkumbuka na kutaka uwepo wake kwa wakati fulani..... Usisite kumtaja... Toa lililo moyoni mkuu....

Karibuni sana.
 
Aaah mm nawakumbuka zaid walionipasua kichwa yaan wako kadhaa lkn...

P- alikua kiboko yng daaah mtoto nilimpenda lkn msumbufu haswaaa, mtoto hayuko serious kabisa na mapenz yaan kukuweka sehem masaa hajatokea halaf anakupa jibu jepesiiii hadi mwenyew unacheka kwa hasira, Siku aliponilaza guest halaf akazingua kutokea ndio nlichoka chokeeee nkanyoosha na mikono nkaenda kutafuta malaya nkajipigia lkn huo usumbufu wake sasa! Simu kila saa wivu tu
 
Aaah mm nawakumbuka zaid walionipasua kichwa yaan wako kadhaa lkn...

P- alikua kiboko yng daaah mtoto nilimpenda lkn msumbufu haswaaa, mtoto hayuko serious kabisa na mapenz yaan kukuweka sehem masaa hajatokea halaf anakupa jibu jepesiiii hadi mwenyew unacheka kwa hasira, Siku aliponilaza guest halaf akazingua kutokea ndio nlichoka chokeeee nkanyoosha na mikono nkaenda kutafuta malaya nkajipigia lkn huo usumbufu wake sasa! Simu kila saa wivu tu
Hahaha pole sana mkuu, P- alikutia hasara ya kulipa gesti halafu hakutokea hahaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom