BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
mpenzi wangu mama kijacho charminglady naona huku maisha yamekua magumu coz nakumiss mbaya.. nimesikia kuwa Erickb52 kusikia nmesafiri kajileta, nitunzie penzi langu..maana sio kila kitu ni cha kushea..
niko huku nahangaika ili kijacho afurahie maisha...nakupenda sana lazizi, nakukosa sana tu
mdogo wangu C6 umeumia.....
Mzee wa kulambalamba Erickb52 yupo mwanza.....
Ile kutua mwanza tu charminglady simu yake ikawa busy haipatikani?
Walaaaaahiiiiiiii umeumia wewe
mdogo wangu C6 umeumia.....
Mzee wa kulambalamba Erickb52 yupo mwanza.....
Ile kutua mwanza tu charminglady simu yake ikawa busy haipatikani?
Walaaaaahiiiiiiii umeumia wewe
charminglady si uwaambie ukweli kuwa uko bed rest huku hotelini kwangu?shost FYI mwenzio nipo hosp bed rest wala shemeji yako hana wasiwasi na mie lolest!!!!!
C6 pole sanahuko Erickb52 anakolalia mi ndo nimeamkia, so hanitishi hanibabaishi.....muache ajifanye anajua sana uwizi, za mwizi ni 40, mtaona tu Boflo au Mbuzi Mzee atatoa vitu vyake kule jukwaa lingine

charminglady si uwaambie ukweli kuwa uko bed rest huku hotelini kwangu?
Na hii yote ni baada ya kukupa shughuli a nguvu hadi unahitaji mapumziko BADILI TABIA anajua coz nishamfanyia kama wewe
C6 kweli umefika shemeji yangu! Raha ya mke kumjali, kumpenda na kumthamini. Nawatakia kila lililo la kheri!
asali wa moyo wangu nimekumiss mno,izi wiki mbili naona kama miaka miwili. Njoo eapoti siku nnayofika nikukure hapo. You are my everything
Usijali, siku hazigandi. Mekumissijeeeeeee????????
binamu hivi leo ni tarehe gani vile na mwaka gani vile?
2012 - 2014 = ???????????????????????????????????????????????
Cousin wacha maneno yako bana!
asali wa moyo wangu nimekumiss mno,izi wiki mbili naona kama miaka miwili. Njoo eapoti siku nnayofika nikukure hapo. You are my everything