I miss you Binti.com

I miss you Binti.com

twende kazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
1,520
Reaction score
461
Nimekukumbuka sana mpenzi mara ya mwisho niliku-pm miezi kadhaa iliyopita.Msg yako moja tu ilinipa raha ya ajabu.Kama upo naomba tujisosomole hapa uwanjani.
 
Nimekukumbuka sana mpenzi mara ya mwisho niliku-pm miezi kadhaa iliyopita.Msg yako moja tu ilinipa raha ya ajabu.Kama upo naomba tujisosomole hapa uwanjani.
Msg yangu moja tu ikakupa raha ya ajabu! zikiwa kumi je si utapata mfadhaiko na kichaa? Nakuhurumia sipendi kukudhuru, hivyo kwa ajili ya afya yako sitakutumia msg nyingine tena
 
Msg yangu moja tu ikakupa raha ya ajabu! zikiwa kumi je si utapata mfadhaiko na kichaa? Nakuhurumia sipendi kukudhuru, hivyo kwa ajili ya afya yako sitakutumia msg nyingine tena
Ahahahah..Hapo sasa utaharibu wangu..Your silence can kill someone softly..!
 
Hee!
Nyie vipi tena!
Mbona mnagenyezana HAZALANI ya pablik !
Yaani mnapeana HAPETAITI na hamu iviivii! Yaani iviivii !
Hamuogopi hata ala'bii ya kuabyuzi!
 
Hee!
Nyie vipi tena!
Mbona mnagenyezana HAZALANI ya pablik !
Yaani mnapeana HAPETAITI na hamu iviivii! Yaani iviivii !
Hamuogopi hata ala'bii ya kuabyuzi!

What's wrong with you?? Nowdays your mind seems like to be conquered!
 
What's wrong with you?? Nowdays your mind seems like to be conquered!

Maddame Kilawalawa!
Nini mbaya?
Did i say or do somethin wron?
Are you upset with me?
Please tell me if you wish !
Tell me what's wron as i am confused !
 
Hee!
Nyie vipi tena!
Mbona mnagenyezana HAZALANI ya pablik !
Yaani mnapeana HAPETAITI na hamu iviivii! Yaani iviivii !
Hamuogopi hata ala'bii ya kuabyuzi!
Ahahahahah..mkuu umeua basi tunahamia PM..
 
Huku njema njema kamanda, nipo home tu nimetulia pande izo niaje niaje
Mkuu huku kwema kabisa.Nipo ofisini bishop and all priests wameenda kubariki mafuta matakatifu nipo na masista tu.Ahahahaah
 
Back
Top Bottom