miss chagga si tunatafuta wote aise si unaona xmass inakaribia aise
Zichange bana tukakutane kule mndenyi na akina Tized na kiwatengu
Tuwaachie akina utafiti na Mndengerekona Khantwe na Ntuzu na kabanga na bysange na mshanajr mji wao na fujo zao
ndiyo najichanga changa hapa kukamilisha mtanange
Cha chini ya kahawa
We hujipendi weye...! Huyo miss chagga umemsahau?
Orayt.... hebu wachangamkie chapchap sana afu ulete mrejesho nyuma kwenye chama.
Huyu ni wangu so kuwa mpole sawa,???
sawa mama mimi najijua mwizi tu
Sema hakyamungu
Mi ni Tomaso. mpaka nithibitishe mwenyewe.
Teh teh
hahahaaaa..... mkulima unaandika mashairi yenye vina kama yule mwandishi wa Malenga Wapya..