Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Mutuwache kwa raha zetu........!
shikamooo kaka
Mimi na mamaafacebook hatukukutana gulioni Katerero.
Usisikilize ya watu Mrs, tutagombana bure wapate faida.
Mimi ni ndege wake mwenyewe haitaji manati kunitafuta.........Na wewe utuliage.... Kah..! Yote Hiyo unamfatilia babu ODM!
Naona kama vile hujipendi unachokoza nyuki wewe?? Shauri yako....
Dena Amsi Miss u so much na Unajua mi nakupenda sn Dena Amsi Yani Hapa nilipo niko njiani Nakuja Huko shamba tuchunge ng'ombe wote na kuvuna mahindi.... Haiwezekani Huyu jamaa Mr Rocky akuowe alafu yeye akuweke maporini then yeye akae mjini anajivinjari Na kina miss chagga.
Unaondoka lini nikuandalie safari?
Uwiiiiiiii........ Nimekwisha...!
Niambie tu bby si waenda kumsaidia shemejio kuvuna?
Nenda tu af mi ntaendelea kumpikia shemeji yangu Mr Rocky