Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Habari za usiku huu,
Bila ya kuwa nafungana na upande wowote wa siasa ntawasalimu tena kwa mara ya pili. Na wapendwa. BTT; I miss those days ambazo nilikuwa na fall au namzimikia au namdondokea au nampenda mkaka kwa kuangalia handwriting yake tuu.
(Hapa wale wanao andika vibaya aka madaktari na engineers mtanisamehe maana ilikuwa ngumu kuwakubali khaa miandiko mibaya kama bata kapita hehee.Nilikuwa nikipata barua ya mtu niliyempenda kwa mwandiko wallah ntachana karatasi zote ila si barua yake.
I miss those days ukipata barua shurti unasubiria kuisoma usiku, yaani unamaliza kazi zote unaoga unapaka marashi kisha unapanda kitandani na kuanza kuisoma taratibu hadi maneno yanakaa moyoni.
I miss those days mdada ukienda gengeni umevaa gauni ndani na khanga ya kiunoni kwa juu wakaka wa mtaani utasikia psii psii hata kama huvutii utasikia psii psii ukirudi nyumbani lazima ujiangalie kwenye kioo na kuniambia kumbe nalipa eeh kumbe hamna lolote, maringo yanaanza sasa hapo kwa mschana.
I miss those days mschana huwezi fanya kazi nzito mbele ya mvulana. Utasikia subiri kwanza ngoja nikuoneshe basi utabebewa dumu la maji hadi karibu na nyumbani. Ilikuwa raha sana.
I miss those days kukiwa na timu ya mpira ya vijana wa mtaani halafu kuna mkaka unayempenda ameumizwa na wenzie katikati ya mechi unakosaje rahaa utasikia jamani msiniumizie.I miss those days magauni ya chirmen linavaliwa jumapili kanisani mguuni una utankoma saa nane hahahahahaa.
Now days vijana hawana art love hasa ya mwandiko maana ni full touch screen na ku type. Kama ni kazi mschana utapiga kazi hadi utoke kigimbi hakuna hata wa kukusaidia hata kama wapo wakaka 10 mbele yako.
I just miss those days....
Kasie aka ajuza bin kibibi.
Usikuuu mweeemaa.