Nae eti mwanamke.. Woooiii!!!!hii kali jaman! hv mnapataga ngv gan za kurudiana na ex wenu? yaan ww dada utakuwa na ndoa ngumu na chungu sana sana! mbn nakuhis km unashida? naogopa kukuita ma.la.ya kwasabb sijui unawaza nn.... aise wewe hufai sijui ukiwa unarud tzee si utakuwa unafikia kwa hyo ex wako jaman!...shda 1 mnayokosea mnawakumbukaga kwa mazuri... iweje umkumbke ex wako lakin... aise mie nna shda sehem!..anywys utakuja lia hapa nxt yr wewe... yaan acha tudharirike tu tutukanwe tu kwaajili yenu aic! kha!... mie siwez mfeel tena jaman ex hata iweje bora nisonge mbele....
kila siku mie nasema humu hatujajitambua tunataka nn yaan ww unataka uonekane UMEOLEWA BASI! pathetic
Nae eti mwanamke.. Woooiii!!!!
Sijaona mtu mwenye mchumba hapo ni kiki tu za kitoto
heheheeeeeeeeee........ you kudu be in fenti fodi every dei..Aisee i wish i kudu bi Aijipiii
may be ID alotumia leo ni mpya....Kuna ka pepo flani ka kutojielewa kana kunyemelea.
Umejoin leo leo.
Tayari una mume umempata JF.
Na tayari una una EX unaemmisi.
Ptuuuh.
Anaondoa stress za mshindo humu aisee.. Huo muda wa maishairi angelala azidi kunawirihana mchumba huyu nakuambia
je asimilia hii ya wanaolia hapa Jf ina represent asilimia ngapi ya wasotumia Jf ?Ukichunguza kwa ukaribu siku za hivi karibuni thread za kulilia wanaume zimeongezeka sana,hiyo ni dalili mbaya kwamba tu wapweke mioyoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaondoa stress za mshindo humu aisee.. Huo muda wa maishairi angelala azidi kunawiri
Nikisemaga akili zenu zinawatosha nyinyi wenyewe wengi wenu huwa wananiona km ni nina mfumo dume..!wanawake acha tu tunyanyaswe...
acha tu....
yani unataka kupasha nae kiporo?
unataka uonje biringanya kwa mara ua mwisho...eti kuagana.....serious?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Kazi kweli kwelikileleni haukujawahi kumuacha mtu salama. pole sanaa
Nikisemaga akili zenu zinawatosha nyinyi wenyewe wengi wenu huwa wananiona km ni nina mfumo dume..!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]ukame haujawahi kumuacha mtu salamaUkistaajabu ya kuku utaona ya bata[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I see wanawake wa JF tumepatwa na ukichaa wa upweke,Eeh M/Mungu tusaidie
Sent using Jamii Forums mobile app