I miss MMU and JF in general

I miss MMU and JF in general

Khantwe naona unataka kutolewa damu naona dalili za kumvizia mume wangu Mr Rocky ukome... kama Ntuzu akutoshi naomba uende kw Mndengereko ukome kabisa kumtaja Mr Rocky koma kabisa

Kwa hyo mimi ndo umesikia wa kuokota wake za watu wasiotesheka hapana tafadhali Eshy m.s ananitosha tafadhali.


Hahaaa mkuki kwa nguruwe eeh? Kama kwa Ntuzu tunabanana na kwa Mr Rocky tutabanana tu
Kwani wanaume wameisha mpk muwagombanie by the way haya mapenz ya miss chagga na Mr Rocky sijui hata yameanza lini na sijui kama yana baraka ya pande zote mbili.
 
Last edited by a moderator:
Khantwe wewe fanya kimya kimya unataka kuchepuka halafu unatangaza mpaka Ntuzu ashtuke na miss chagga aone Tized naelewa baba baba utafiti sijui anampenda daddy yake hayo yote ni maneno tuu mambo iko kule bana ukiona manyoya tuu ujue mambo tayari aise Mndengereko umepitwa na mengi humu aise Kasinde anampenda tized, Khantwe ni mke wa Ntuzu, miss chagga ni mke mdogo wa Mr Rocky, Tized nae ghafla akawa mganga wa kienyeji na hapo hapo hatujui baina ya utafiti na miss chagga huko kuitana baba kuna siri gani

Kwa kweli nimepitwa na mengi ila kuna ndoa nyngne kabisa naziona hazina baraka wala malengo zipo kama fashion tu
 
Last edited by a moderator:
Endelea kumdanganya hvyohvyo mshka mapembe.

bla-bla-emoticon.gif
 
Hata nami nimewamiss sana watu wangu wa nguvu humu.

Tuko pamoja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom