Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Ahhahahaha miss chagga mama yako yuko wapi?
aiseee makubwa haya, ndo nashuhudia leo baba hamjui mama wa mtoto
Last edited by a moderator:
Ahhahahaha miss chagga mama yako yuko wapi?
aiseee makubwa haya, ndo nashuhudia leo baba hamjui mama wa mtoto
Sogea huku nikunong'oneze
wapi tena? mke wa mtu mie
Sogea bana ata mimi mume wa mtu, njoo me nishafika
Kinabo wewe!!, ---- wewe!!!, unamshikiashikia nini mke wangu uko? F. Sagamba
utafiti huyu huyu na miss chagga huhu huyu??? Ooooh NOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!! there's something fishy.
Sogea bana ata mimi mume wa mtu, njoo me nishafika
Ahhahahaha miss chagga mama yako yuko wapi?
a ha aha ha ha mna maneno lakini utafiti ni my sweet dady uwezi badilisha hiloMr Rocky njoo uone hii samll house miss chagga inatulaghai apa eti utafiti ni Baba ake! Mi navyojua hili jina la baba linahusika tu kwenye matumizi ya hela, kwingine ni baby linahusika. Shtuka unaibiwa na jua lote hili?
Na kwa kuwa UKAWA kazi yetu huenda na vielelezo, nitathibitisha madai yangu pindi itakapobidi.
Mwanangu nitakupa story yote kuhusu Eshy m.s miaka hiyo tukiwa sekondari
Khantwe naona unataka kutolewa damu naona dalili za kumvizia mume wangu Mr Rocky ukome... kama Ntuzu akutoshi naomba uende kw Mndengereko ukome kabisa kumtaja Mr Rocky koma kabisa
Nina majority shares kwa miss chagga nyie pigeni kelele tu
Sogea bana ata mimi mume wa mtu, njoo me nishafika