I miss MMU and JF in general

I miss MMU and JF in general

aisee kumbe bora ni baki na Tyta wangu nioneshwe mapicha tu!

sure-smiley-emoticon.gif
hand-heart.gif
 
Khantwe wewe fanya kimya kimya unataka kuchepuka halafu unatangaza mpaka Ntuzu ashtuke na miss chagga aone Tized naelewa baba baba utafiti sijui anampenda daddy yake hayo yote ni maneno tuu mambo iko kule bana ukiona manyoya tuu ujue mambo tayari aise Mndengereko umepitwa na mengi humu aise Kasinde anampenda tized, Khantwe ni mke wa Ntuzu, miss chagga ni mke mdogo wa Mr Rocky, Tized nae ghafla akawa mganga wa kienyeji na hapo hapo hatujui baina ya utafiti na miss chagga huko kuitana baba kuna siri gani
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky huyu ni binti yangu, embu baby miss chagga nisaidie kuwatangazia kuhusu familia yetu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom