I miss being in relationship


The same yani dah wat a coincidence,
 
Sitaki kuamini kama mpaka sasa hujapata ulichokitaka,.!!

Anyway Kama bado unajua cha kufanya.
 

Ni PM namba yako plz
 
kuchapwa makofi kidogo.
 
I miss being bachelor 😀😀 kufanya nacho kitaka sizinguliwi, holiday kila mwaka Spain, Italy, dubai, Canada, sasa nipo kwangu nalea vijana☺

Sifa za kijinga
 

Hahahahahaaaa nimecheka kama chizi.
Hii ndio raha ya JF bwana.
 

Ha ha.ha. Umeuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…