I loved you a lot but i don't need you any more, i hate you

mimi nahisi bht na x gf wanafahamiana.....
Na huyo x gf ni member mzoefu hapa,kaja tu na id nyingine leo..

ohooo yamekuwa hayo tena!!
anyway you can think whatever pleases you m dear...
haya na Gaijin naye anagahamiana na huyu bibie?
 
Mi naona la busara ni bora mkitongozana kwa PM mkakubaliana na mkiachana muachane kwa PM nahisi kama kufanya hivi ni kujichoresha na kuzidi kujiumiza, embu ona unaanzisha id mpya ili ulete thread then unakuja kuchangia na id yako original huoni unajichora?maoni yangu tu haya
 
mi naona la busara ni bora mkitongozana kwa pm mkakubaliana na mkiachana muachane kwa pm nahisi kama kufanya hivi ni kujichoresha na kuzidi kujiumiza, embu ona unaanzisha id mpya ili ulete thread then unakuja kuchangia na id yako original huoni unajichora?maoni yangu tu haya

kuna wengine husheherekea mwaka mpya but hawakui...
Wanafikiri miaka ni namba tu zinapishana...
 
Mi naona la busara ni bora mkitongozana kwa PM mkakubaliana na mkiachana muachane kwa PM nahisi kama kufanya hivi ni kujichoresha na kuzidi kujiumiza, embu ona unaanzisha id mpya ili ulete thread then unakuja kuchangia na id yako original huoni unajichora?maoni yangu tu haya

usiniambie ndo mpango mzima? wewe una king'amuzi cha kugundua ni ID ya nani au inabaki kudhania tu kama akawida?
 
mimi niko real kama wewe ni msanii ni wewe tena hii thread ina ukweli sema basi tu

Hayo ya usanii na u real ni mtizamo tu. Wewe kama unajiona real mimi nakuona wee msanii. Nukta, mwisho wa sentensi.
 
usiniambie ndo mpango mzima? wewe una king'amuzi cha kugundua ni ID ya nani au inabaki kudhania tu kama akawida?
Sijataja jina ni maoni yangu tu, si unajua hapa we dare to talk tunavojisikia? au waonaje bahati
 
Sijataja jina ni maoni yangu tu, si unajua hapa we dare to talk tunavojisikia? au waonaje bahati

ndio umedare to talk openly kwenye jina langu pia?

btw: EXG has the same rights that you and me have here...talk openly!
 
ohooo yamekuwa hayo tena!!
anyway you can think whatever pleases you m dear...
haya na Gaijin naye anagahamiana na huyu bibie?

Aaah Bee watu wapo kwenye kujifurahisha na kujiondolea mchungu wanakereka wengine

Mimi kuna mwanaharasha mmoja aliwahi nifungulia thread hapa MMU.(unajijua nani)

Tukenda nayo tu hivyo hivyo, aliyekuwa aliona upuuzi akasepa. Lol
 
  • Thanks
Reactions: bht

si umeona eeh!!
wacha twende hivyo hivyo tu tutafika....
mi ndo maana napenda kumalizana hapa live and in the open air, longolongo si nzuri asilani!
 
Back
Top Bottom