I loved you a lot but i don't need you any more, i hate you

Tukiacha utamaduni huu uendelee
wa watu kutongozana halafu kuja kuanzishiana threads hapa...

Tutadharaulika waliokuwemo na wasiokuwepo.........

Ukitongoza au kutongozwa yaishie huko huko pm

Sasa huku ni kuingilia uhuru wa watu binafsi. Kwa nini mtu asitoe dukuduku lake hapa kama anaona inafaa kufanya hivyo? I see absolutely nothing wrong with it.
 
Bht

Naona umemuelewa sawia X GIRL FRIEND

Watu wanataka kumnyima uhuru Wa kujieleza. Mbona thread za kutafuta wachuchu sijui wachumba sijui washkaji zinaruhusiwa na kuchangiwa kwa sana?

Xgirlfriend mtupie na hii dedication ya taarab

"kweli alikuwa wangu lakini sasa sinae"
 
  • Thanks
Reactions: bht
bht

naona umemuelewa sawia x girl friend

watu wanataka kumnyima uhuru wa kujieleza. Mbona thread za kutafuta wachuchu sijui wachumba sijui washkaji zinaruhusiwa na kuchangiwa kwa sana?

Xgirlfriend mtupie na hii dedication ya taarab

"kweli alikuwa wangu lakini sasa sinae"

mimi nahisi bht na x gf wanafahamiana.....
Na huyo x gf ni member mzoefu hapa,kaja tu na id nyingine leo..
 
una uhuru wa kuiruka mada kama unaona ni ya kitoto.

Au mwenzetu umelazimishwa kuchangia hapa?

unajua this coming from you
unanikumbusha thread moja zamani hapa....
Nilidhani ilikuchukiza kwani hukuchangia kabisa
now labda ulii enjoy kupita kiasi...
 
unajua this coming from you
unanikumbusha thread moja zamani hapa....
Nilidhani ilikuchukiza kwani hukuchangia kabisa
now labda ulii enjoy kupita kiasi...

Thread gani hiyo Bosi? Nikumbushe...manake thread kibao mimi huwaga sichangii na kuna majukwaa mengine huwaga siendi kabisa, kwa mfano lile la ujinga ujinga wa dini. Huko sitiagi mguu mimi kwa sababu naona ni nonsense tu. Hapo natumia haki ya hiari yangu.
 
Nilimpenda kwa dhati ikanawiri haliye
Aliipata bahati kila lake niridhie
Kumbe vile afiriti, PM ndio kaziye

Kiasi nimkatae, nachunga yangu heshima
Naende kwa amtakae, kwangu Mimi nishakoma

Boss Bht kamuelewa kirahisi kwa kuwa naye ni mwanamke, anai feel situation sio wewe unaiita upuuzi Wa kitoto! Lol
 
  • Thanks
Reactions: bht
inaweza aliikuta id ya figaniga kwa bahati mbaya so akaanza kumfatilia leo kaamua kumtolea uvivu
duh yataka moyo sana
 
Kwa jinsi JF ilivyo na viroja vya watu kuwa na IDs nyingi huenda kabisa huyu X ni mwanachama wa zamani tu hapa na kaamua kujiandikisha na jina jipya ili awachore tu watu. Hahahaaaa humu ndani ni full usanii kwa kwenda Bagamoro.
 
I gave my heart my soul my body and my trust, i loved you more than everthing, sijawah kukucheat ht siku 1. but now umeamua kunitenda unatongoza mwanamke JF bl kunihurumia,kwanini mpenzi wangu? Nimekukosea nini? naumia sana,sijawah kuumia hivi.,MY LOVE FIGGANIGGA REMEMBER THAT I LOVED YOU A LOT AND I WILL ALWAYS LOVE YOU BUT SITAKUSAMEHE na anzia leo I DON'T WANA SEE U EVER AGAIN,@=,:dedication 4 u: I WILL ALWAYS LOVE YOU by witney houston. BYE
<br />
<br />
why don't u dedicate this one,I DON'T EVER WANT TO SEE YOU AGAIN BY Uncle Sam.
 
thread gani hiyo bosi? Nikumbushe...manake thread kibao mimi huwaga sichangii na kuna majukwaa mengine huwaga siendi kabisa, kwa mfano lile la ujinga ujinga wa dini. Huko sitiagi mguu mimi kwa sababu naona ni nonsense tu. Hapo natumia haki ya hiari yangu.

kuna thread binti maringo aliianzishaga back in the days..
Ikamfanya blue ray aseme astakhfirullaa mara tatu unaikumbuka?????

Na blue ray haamini in god..lol
 
kwa jinsi jf ilivyo na viroja vya watu kuwa na ids nyingi huenda kabisa huyu x ni mwanachama wa zamani tu hapa na kaamua kujiandikisha na jina jipya ili awachore tu watu. Hahahaaaa humu ndani ni full usanii kwa kwenda bagamoro.
wewe ndo msanii
 
kuna thread binti maringo aliianzishaga back in the days..
Ikamfanya blue ray aseme astakhfirullaa mara tatu unaikumbuka?????

Na blue ray haamini in god..lol

Daah..sasa sijui unaizungumzia thread ipi maana Binti Maringo amewahi kuanzisha thread nyingi nyingi&#8230;.eniwei&#8230;hiyo kwa kweli siikumbuki na kama sikuchangia basi labda niliiona haina maana au sikujisikia tu.
 
Bht

Naona umemuelewa sawia X GIRL FRIEND

Watu wanataka kumnyima uhuru Wa kujieleza. Mbona thread za kutafuta wachuchu sijui wachumba sijui washkaji zinaruhusiwa na kuchangiwa kwa sana?

Xgirlfriend mtupie na hii dedication ya taarab

"kweli alikuwa wangu lakini sasa sinae"

G ...lol!
umekomelea na msumari wa mambo ya pwani hasa....
hiyo nyimbo ni ya nani?
mi sijaona tatizo bidada acha ajitolee machungu yake tu
 
Back
Top Bottom